Karibu utembelee Blog ya Masanja na rafiki zake, maoni yako yatapokelewa kwa mikono miwili ili mradi tu yasiwe ya kukashifu.
Blog hii ni maalumu kwa ajili ya kuelimisha jamii na kuonesha jamii wanyama na tabia zake hivyo utakapotembelea Blog hii utakutana na Matukio ya kila siku na pia utapata maisha ya wanyama kutoka katika hifadhi zetu.
Lakini kubwa zaidi utakutana na Harusi mbalimbali zilizotia fora kutoka sehe mbalimbali hapa nchini
Karibu wote